Historia ya Cote d'Ivoire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Cote d'Ivoire inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Cote d'Ivoire.

Baada ya uhuru (7 Agosti 1960), iliwahi kuwa kati ya nchi tajiri zaidi za Afrika, lakini tangu mwaka 2002 uchumi na hali ya maisha kwa jumla vimeharibika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe (2002-2011).

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Cote d'Ivoire kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.