Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Guinea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Guinea inahusu zaidi eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Guinea.

Mnamo Septemba 5, 2021, jaribio la mapinduzi lilifanyika dhidi ya utawala wa Alpha Condé.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Guinea kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.