Historia ya Somalia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Historia ya Somalia inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Somalia.

Nchi iliunganika mwaka 1960, kutokana na makoloni mawiliː ya Waitalia (kusini) na Waingereza (kaskazini).

Baada ya mwaka 1991 nchi ya Somalia ilibaki haina serikali wala umoja wa taifa, iligawiwa na wakereketwa na wanamgambo wa ukoo na eneo, hasa Somaliland, Puntland na Galmudug upande wa kaskazini.

Katika miaka 2008-2013 ilihesabika kama nchi filisika. Kwa sasa ni nchi dhaifu lakini inaanza kujengwa upya kama shirikisho.

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Somalia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.