Nenda kwa yaliyomo

Diiriye Guure

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diiriye Guuure (1860 - 1920) alikuwa mfalme wa Darawiish kuanzia mwaka 1895 hadi kifo chake. Ni wa pili kutoka nasaba ya Shirshoore, akimfuata baba yake, Garad Guure.[1][2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ciise, Jaamac Cumar (2005). "Taariikhdii daraawiishta iyo Sayid Maxamad Cabdille Xasan, 1895-1920".
  2. "Official History of the Operations in Somaliland, 1901-04". 1907.