Cote d'Ivoire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kodivaa)
Rukia: urambazaji, tafuta
République de Côte d'Ivoire
Republic of Côte d'Ivoire
Bendera ya Côte d'Ivoire Nembo ya Côte d'Ivoire
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: (tafsiri) Umoja, Nidhamu, Kazi
Wimbo wa taifa: L'Abidjanaise
Lokeshen ya Côte d'Ivoire
Mji mkuu Yamoussoukro (rasmi)
Abidjan (hali halisi)
6°51′ N 5°18′ W
Mji mkubwa nchini Abidjan
Lugha rasmi Kifaransa
Serikali Jamhuri
Laurent Gbagbo
Uhuru
Tarehe
7 Agosti 1960
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
322,460 km² (ya 67)
1.4%
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 1988 sensa
 - Msongamano wa watu
 
18,154,000 ¹ (ya 57)
10,815,694
54/km² (ya 118)
Fedha CFA franc (XOF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
GMT (UTC+0)
haifuatwi (UTC+0)
Intaneti TLD .ci
Kodi ya simu +225

-Côte d'Ivoire (tamka: kot divwar; kifar.: "Pwani la pembe za ndovu") (Kisw. pia: Kodivaa, Ivory Coast), kwa Kiingereza Ivory Coast ni nchi ya Afrika ya Magharibi. Imepakana na Liberia na Guinea upande wa magharibi, Mali na Burkina Faso kaskazini, Ghana kwenye mashariki na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki upande wa kusini.

Iliwahi kuwa kati ya nchi tajiri zaidi za Afrika lakini tangu mwaka 2002 uchumi na hali ya maisha zimeharibika kutokana na vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Ramani ya Côte d'Ivoire

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Serikali

Habari

Overviews

Orodha

Utalii

MengineyoNchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cote d'Ivoire kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.