Historia ya Uthai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Uthai inahusu eneo ambalo leo linaunda ufalme wa Uthai.

Uthai ilikuwa nchi pekee ya Asia Kusini Mashariki iliyofaulu kukwepa ukoloni.

Nchi iliitwa rasmi Siam (สยาม) hadi mwaka 1939, tena kati ya 1945 na 1949.

Neno Thai (ไทย) linamaanisha "uhuru" kwa Kithai ni pia jina la kundi kubwa la watu nchini ambao ni Wathai (75-85%), mbali na Wathai-Wachina (12%).

Tangu tarehe 19 Septemba 2006 nchi imetawaliwa na kamati ya jeshi. Jeshi ilipindua serikali ya waziri mkuu Thaksin Shinawatra bila kumwaga damu. Viongozi wa kijeshi walipatana na mfalme kwamba wataandaa uchaguzi mpya.

Lakini hata baada ya chaguzi huru kadhaa nchi haijatulia kisiasa.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Uthai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.