Historia ya Liechtenstein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Liechtenstein inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Ufalme mdogo wa Liechtenstein.

Kwa muda mrefu nchi ilikuwa sehemu ya Dola Takatifu la Kiroma ingawa chini ya utawala wa kikabaila.

Dola hilo liliposambaratishwa na Napoleon Bonaparte (1806), Liechtenstein ilijiunga na Shirikisho la Rhein hadi mwaka 1813 ambapo lilifutwa, halafu na Shirikisho la Ujerumani (1815-1866).

Ndipo ilipopata uhuru kamili ikitegemea ulinzi kutoka Uswisi.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Liechtenstein kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.