Nenda kwa yaliyomo

Roseau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mji wa Roseau
Nchi Dominica
Roseau
Roseau na bandari yake pamoja na meli ya utalii

Roseau ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani ya Dominica katika Karibi. Ni mji mdogo wenye wakazi 14,000.

Iko upande wa magharibi wa kisiwa (kwenye 15°18'N - 61°23'W). Mji ulianzishwa na Ufaransa wakati wa karne ya 18 una majengo ya zamani za Wafaransa na pia za kisasa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Roseau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.