Dili
Mandhari
Jiji la Dili | |
Nchi | Timor ya Mashariki |
---|
Dili ni mji mkuu wa Timor ya Mashariki mwenye wakazi 150,000.
Mji uko upande wa kaskazini ya kisiwa cha Timor una bandari kuu la nchi pamooja na uwanja wa ndege wa kimatifa. Ni pia mahali pa chuo kikuu cha Timor ya Mashariki.
Mji ulianzishwa na Wareno mnamo mwaka 1520 ukawa makao makuu ya koloni ya Kireno. Uhuru wa nchi ulitangazwa hapa 1975 uliofuatwa na uvamizi wa Indonesia. Vita ya ukombozi ilileta uharibifu mwingi.
Tangu 20 Mei 2002 Dili ni mji mkuu wa Timor ya Mashariki huru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Dili katika Timor ya Mashariki ya tovuti rasmi Ilihifadhiwa 21 Julai 2009 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dili kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |