Nenda kwa yaliyomo

Noam Chomsky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Noam Chomsky (2005)

Noam Chomsky (*7 Desemba 1928) ni mtaalamu wa isimu (sayansi inayochunguza lugha) nchini Marekani. Tangu 1955 amekuwa profesa kwenye chuo cha Massachusetts Institute of Technology (MIT).

Amekuwa maarufu kwa michango yake katika isimu na pia kwa kama mwanaharakati aliyepigania mara nyingi siasa zisizolingana na serikali ya Marekani.

Alibuni sarufi inayofaa kwa lugha zote.