Thesalonike
Mandhari
(Elekezwa kutoka Thessaloniki)
Thesalonike (kwa Kigiriki Θεσσαλονίκη, Thessaloniki) ni mji wa pili wa Ugiriki kwa ukubwa, ukiwa na wakazi 322,240 (sensa ya mwaka 2011) ambao wanafikia 790,824 katika eneo zima la mji.
Uko upande wa kaskazini wa nchi na kuwa makao makuu ya mkoa wa Makedonia.
Una historia ndefu na tukufu, ikiwa ni pamoja na kutembelewa na mtume Paulo aliyeanzisha huko mojawapo kati ya jumuia za kwanza za Ukristo barani Ulaya.
Pia unajulikana kwa nyaraka mbili alizowaandikia hao Wakristo wachanga, ambazo ya kwanza yake ni andiko la kwanza kabisa katika utunzi wa Agano Jipya.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Sehemu ya Tao la Galerius
-
Tao la Galerius na Rotunda
-
Sehemu ya ngome ya mji
-
Mandhari ya mji kutoka Ano Poli
-
Kitivo cha Falsafa, jengo la kwanza la Aristotle University, iliyoundwa mwaka 1925
-
Majengo ya uwanja wa Aristotle
-
Thessaloniki International Trade Fair na ukumbi wa michezo wa Alexandreio Melathron (kushoto); Chuo Kikuu cha Aristotle (kulia)
-
"Mnara mwekundu"
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Apostolos Papagiannopoulos,Monuments of Thessaloniki, Rekos Ltd, date unknown.
- Apostolos P. Vacalopoulos, A History of Thessaloniki, Institute for Balkan Studies,1972.
- John R. Melville-Jones, 'Venice and Thessalonica 1423–1430 Vol I, The Venetian Accounts, Vol. II, the Greek Accounts, Unipress, Padova, 2002 and 2006 (the latter work contains English translations of accounts of the events of this period by St Symeon of Thessaloniki and John Anagnostes).
- Thessaloniki: Tourist guide and street map, A. Kessopoulos, Malliarēs-Paideia, 1988.
- Mark Mazower, Salonica, City of Ghosts: Christians, Muslims and Jews, 1430–1950, 2004, ISBN 0-375-41298-0.
- Thessaloniki City Guide, Axon Publications, 2002.
- Eugenia Russell, St Demetrius of Thessalonica; Cult and Devotion in the Middle Ages, Peter Lang, Oxford, 2010. ISBN 978-3-0343-0181-7
- James C. Skedros, Saint Demetrios of Thessaloniki: Civic Patron and Divine Protector, 4th-7Th Centuries (Harvard Theological Studies), Trinity Press International (1999).
- Vilma Hastaoglou-Martinidis (ed.), Restructuring the City: International Urban Design Competitions for Thessaloniki, Andreas Papadakis, 1999.
- Matthieu Ghilardi, Dynamiques spatiales et reconstitutions paléogéographiques de la plaine de Thessalonique (Grèce) à l'Holocène récent, 2007. Thèse de Doctorat de l'Université de Paris 12 Val-de-Marne, 475 p.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Serikali
[hariri | hariri chanzo]- Municipality of Thessaloniki Ilihifadhiwa 1 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
- Thessaloniki Port Authority
- ΟΑΣΘ – Organisation of Urban Transport of Thessaloniki (Greek & English)
Utalii
[hariri | hariri chanzo]- You in Thessaloniki: Official promotional video for Thessaloniki by the Greek National Tourism Organization
- Thessaloniki Ilihifadhiwa 7 Januari 2012 kwenye Wayback Machine. The Official website of the Greek National Tourism Organisation
Utamaduni
[hariri | hariri chanzo]- Thessaloniki Concert Hall Organisation
- Thessaloniki Film Festival
- Thessaloniki Info & Links
- Thessaloniki360 Virtual City Guide Ilihifadhiwa 24 Julai 2012 kwenye Wayback Machine.
- Thessaloniki Tsimiski.gr street Ilihifadhiwa 10 Septemba 2010 kwenye Wayback Machine.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Thessaloniki 2012 (celebrations for the 100 years of the incorporation of the city to Greece)
- Thessaloniki 2014 Ilihifadhiwa 11 Juni 2012 kwenye Wayback Machine. (official website of Thessaloniki European Youth Capital 2014)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Thesalonike kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |