Mamalia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mammalia
Kangaruu ni mamalia wa Australia
Kangaruu ni mamalia wa Australia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Chordata
Ngeli: Mammalia
Ngazi za chini

Mamalia ni wanyama ambao wanawanyonyesha watoto maziwa kwa kutumia viwele vyao. Wana damu moto na kupumua kwa mapafu.

Kuna takriban spishi 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati hizi wanatega mayai lakini wote wengine wanazaa watoto hai. Spishi ndogo ni aina ya popo mwenye urefu wa sentimita 4 pekee hadi nyangumi buluu mwenye urefu wa mita 33.

Uainishaji[hariri | hariri chanzo]

Mamalia hugawiwa kwa nusungeli mbili ambazo ni

  • Prototheria ni mamalia wanaotega mayai au kubeba watoto wao baada ya kuzaa ndani ya mfuko wa mwilini kwa muda
  • Eutheria ni mamalia wa kawaida na spishi nyingi zimo humo.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamalia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Crystal Clear app babelfish.png Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamalia kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.