Dubu barafu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Dubu Barafu
Dubu barafu Ursus maritimus
Dubu barafu Ursus maritimus
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Nusungeli: Eutheria
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Ursidae (Wanyama walio na mnasaba na dubu)
Jenasi: Ursus
Spishi: U. maritimus

Dubu Barafu (Ursus maritimus, pia huitwa: Dubu Aktiki) ni dubu mkubwa mweupe wa duara ya Aktiki.

Ramani inaonyesha maeneo yaliyokaliwa na dubu barafu (kijani)
Crystal Clear app babelfish.png Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dubu barafu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.