Damu moto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Damu moto ni damu ya baadhi ya viumbe hai, hususan mamalia na ndege.

Jina linatokana na sifa ya damu hiyo kubaki na kiwango fulani cha joto hata katika mabadiliko ya halijoto.

Ni tofauti na damu baridi ya samaki, reptilia na amfibia ambayo inafuata halijoto ya mazingira.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Damu moto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.