Nguva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nguva
Nguva wa kawaida
Nguva wa kawaida
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Nusungeli: Theria
Oda ya juu: Afrotheria
Oda: Sirenia
Ngazi za chini

familia 2

Nguva (Kisayansi: Sirenia) ni mnyama mwenye vikono vya mbele na mkia wenye umbo la pembetatu anayeishi Bahari ya Hindi, Bahari ya Karibi, Afrika ya Magharibi na mto wa Amazoni. Jina la Kisayansi Sirenia linatoka neno la Kigiriki Σειρῆνες Seirēnes. Neno la "nguva" pia ina maana ya mtu mwenye mwili wa mwanamke na mkia wa samaki kama sireni wa mitholojia ya Kigiriki. Hula manyasi ya bahari na mimea ya maji mingine.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.