Bern
Mandhari
Jiji la Bern | |
Mahali pa mji wa Bern katika Uswisi |
|
Majiranukta: 46°57′0″N 7°26′0″E / 46.95000°N 7.43333°E | |
Nchi | Uswisi |
---|---|
Majimbo | Jimbo la Bern |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 123.000 |
Tovuti: www.bern.ch |
Bern (pia: Berne, Berna) ni mji wa shirikisho wa Uswisi na mji mkubwa wa nne katika nchi. Bern ni pia mji mkuu wa jimbo la Bern. Iko kando la mto Aar. Hivyo ina nafasi ya mji mkuu ingawa shirikisho la Uswisi halina mji mkuu kikatiba.
Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kijerumani kwa lahaja ya Bern.
Mji uliundwa mwaka 1191 ukapokea jina kutokana jina la Kijerumani la dubu ("Bär").
Mkazi mashuhuri wa Bern alikuwa Mjerumani Albert Einstein aliyeunda nadharia zake za fizikia ya kisasa alipofanya kazi mjini Bern
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bern kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |