Europa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Europa ni neno katika lugha mbalimbali lenye asili ya Kigiriki "Ευρώπη" la kutaja

  • bara la Ulaya
  • Europa (dini), binti wa mfalme katika masimulizi ya dini ya Wagiriki wa Kale aliyekuwa mpenzi wa mungu mkuu Zeus
  • Europa (mwezi), mwezi wa pili kati ya miezi ya Mshtarii
  • 52 Europa, asteroidi katika mfumo wa jua
  • Europa (kisiwa), kisiwa ndogo cha Kifaransa katika bahari Hindi ni sehemu ya Îles Éparses
  • Europa (kombora) ilikuwa kombora la Kiulaya la kurusha vyombo angani kabla ya kupatikaka kwa makombora ya Ariane

Kuna pia nyimbo, vitabu, meli, gari na michezo ya kompyuta na makampuni zinazoitwa "Europa"

Disambig.svg
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.