Giuseppe Conte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giuseppe Conte (amezaliwa 8 Agosti 1964) ni profesa wa chuo kikuu, mwanasheria na mwanasiasa wa Italia, ambaye ni Waziri Mkuu wa 58 wa Italia tangu Juni 2018.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giuseppe Conte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.