Marco Polo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mchoro wa picha ya Marco Polo.

Marco Polo (15 Septemba 12548 Januari 1324) alikuwa mpelelezi na mfanya biashara wa Kiitalia. Marco Polo ndiyo alikuwa wa kwanza kufanya upelelezi katika nchi zilizo kingama na bara la Asia na “Mashariki ya Mbali”. Marco, yeye ndiyo alikuwa wa kwanza kufanya upelelezi duniani. Wapelelezi wengine alikuwepo, Christopher Columbus, ambaye pia alifuata nyayo za Marco. Vilevile yasemekana kuwa Marco Polo, ndiyo alioleta chakula cha Spaghetti chini Italia. Alikipata chakula hicho huko Uchina na kukipeleka nchini kwao Italia.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marco Polo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.