Kimandarin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimandarin ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wachina. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimandarin nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 840. Pia kuna wasemaji katika nchi zifuatazo: 10,600 nchini Brunei (2006), 60,900 ndani ya Hong Kong (2006), 24,320,000 nchini Taiwan (1993), 460,000 nchini Indonesia (1982), wengi nchini Malaysia ambapo ni lugha ya taifa (lakini bila idadi rasmi ya wasemaji), 35,000 nchini Mongolia (1993), 500,000 nchini Myanmar (1994), 500 nchini Ufilipino (1990), 1,210,000 nchini Singapuri (2010), na 5880 nchini Uthai (1984). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimandarin iko katika kundi la Kichina.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimandarin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.