Ernst Haeckel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ernst Haeckel.

Heinrich Philipp August Haeckel (* 16 Februari 1834 mjini Potsdam; † 9 Agosti 1919 mjini Jena) alikuwa mtaalamu wa biolojia na falsafa kutoka nchini Ujerumani. Alijishughulisha na kazi za Charles Darwin.

Utaalamu wake ulikuwa hasa katika zuolojia akakusanya, kueleza na kuzipa majina spishi maelfu za wanyama. Alitumia wakati mwingi kutangaza matokeo ya kazi ya Darwin katika Ujerumani.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: