Peni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peni

Peni (kutoka Kiingereza "pen") ni kifaa ambacho kimejazwa wino ambao husaidia katika kuandika mambo mbalimbali.

Faida[hariri | hariri chanzo]

1. Hutusaidia kumbukumbu, kwa mfano ya masomo

2. hutusaidia kuchora mambo muhimu, kwa mfano ramani za majumba

Hasara[hariri | hariri chanzo]

1. Hasara mojawapo ya peni ni pamoja na uchafuzi wa mikono na nguo kutokana na uwekaji mbaya.