Nenda kwa yaliyomo

Ramallah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramallah

Ramallah (kwa Kiarabu رام الله اﷲ, yaani "mlima wa Mungu") ni mji wa Palestina katika eneo la magharibi ya Yordani.

Mji uko kilometa 10 kaskazini kwa Yerusalemu.

Idadi ya wakazi ni 57,000 hivi, wengi wao wakiwa Waislamu na asilimia 25 Wakristo.

Mjini kuna ofisi za serikali ya Mamlaka ya Palestina pamoja na moja kati ya ikulu mbili za Rais, Mahammod Abbas.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ramallah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.