Falme Tatu za Korea
Falme Tatu za Korea ilikuwa Goguryeo, Baekje na Silla.
Falme hizi tatu awali ilikuwa Peninsula ya Korea na Manchuria. Ilikuwa kati ya karne ya kwanza KK na ya saba BK pia walikuwepo. Pia kulikuwa na falme na makabila madogomadogo nchini. Miungoni mwa falme hizo ndogo ni pamoja na Gaya, Dongye, Okjeo, Buyeo, Usan, Tamna, na mengine mengi tu.
Kipindi cha falme tatu kiliisha mnamo 668 pale Silla ilipoishinda falme nyingine mbili. Imeipiga Goguryeo baada ya Baekje. Baada ya hili, pia kulikuwa na kipindi cha Muungano wa Silla.
Maandishi mawili ya kisasa yameandikwa jina la falme tatu. Mjina hayo ni Samguk Sagi na Samguk Yusa. Jina la "Samguk" linamanisha "Falme Tatu". Kwa Kihangul, falme tatu zinaitwa 삼국. Kwa Kihanja, falme tatu zinaitwa 三國.
Mwisho wa Kipindi cha Falme Tatu za Korea
[hariri | hariri chanzo]Muungano wa Uchina chini ya Nasaba ya Tang, Silla ikaitwa Goguryeo mnamo 668, baada ya kuitwaa Gaya mnamo 562 na Baekje mnamo 660, hivyo wakaanza kuelekea nchi za Kaskazini-Kusini na Silla ya Baadaye kwa upande wa kusini na Balhae kwa upande wa kaskazini.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Falme Tatu za Korea kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |