Bomu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mfano wa bomu.

Bomu (wingi: mabomu; kutoka Kiingereza "bomb") ni silaha inayoundwa kwa vitu vya kulipuka. Yamekuwa yakitumika kwa karne nyingi. Mabomu mengine hutupa vipande vya chuma, na baadhi ni mabomu ya moto.

Mabomu mengi hayana nishati zaidi kuliko mafuta ya kawaida, isipokuwa katika kesi ya silaha ya nyuklia. Hata hivyo, hutoa nguvu zake kwa haraka zaidi, hivyo ni za hatari zaidi.