Kingstown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kingstown

Mji wa Kingstown na bandari yake
Habari za kimsingi
Utawala Ushirika raia Saint George
Anwani ya kijiografia Latitudo: 13°10′N
Longitudo: 61°14′W.
Kimo ? m juu ya UB
Eneo - ? km²
Wakazi - mji: 15,900 (1999)
Msongamano wa watu watu ? kwa km²
Simu +1784 (nchi yote)
Mahali

Kingstown ni mji mkuu wa nchi ya visiwani ya Saint Vincent na Grenadini mwenye wakazi wapatao 16,000. Iko kwenye kisiwa kuu cha Saint Vincent kilicho sehemu za Antili Ndogo. Ni pia bandari kuu ya nchi.

Kingstown ilikuwa nyumbani ya Hugh Mulzac (1886-1971) aliyehamia Marekani na kuwa Mwamerika mweusi wa kwanza wa kuwa nahodha wa meli ya Marekani.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Habari za Kingstown na St. Vincent (kiing.) Archived 18 Februari 2007 at the Wayback Machine.