Nenda kwa yaliyomo

Frederick Jackson Turner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frederick Jackson Turner

Frederick Jackson Turner (14 Novemba 186114 Machi 1932) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1933, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Significance of Sections in American History.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Jackson Turner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.