Tegucigalpa
Jump to navigation
Jump to search
Jiji la Tegucigalpa | |
Nchi | Honduras |
---|
Tegucigalpa (Tegus kwa kifupi) ni mji mkuu na mji mkubwa nchini Honduras.
Ina wakazi zaidi ya milioni moja.
Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1578 kwa jina la "Real Villa de San Miguel de Tegucigalpa de Heredia" kama kituo cha migodi ya dhahabu na fedha.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tegucigalpa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |