Nenda kwa yaliyomo

Thomas Hobbes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Hobbes

Thomas Hobbes (5 Aprili 1588 - 4 Desemba 1679) alikuwa mwanafalsa wa Uingereza. Hasa anajulikana leo kwa nadharia zake za siasa. Aliandika kitabu cha Leviathan.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Hobbes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.