Chuo kikuu cha Princeton
Mandhari
(Elekezwa kutoka Princeton University)
Wito: Dei sub numine viget | |
Kilianzishwa: | 1746 |
Aina ya Chuo: | binafsi |
Mkuu wa Chuo | Shirley Tilghman |
Mji: | Princeton, New Jersey |
Nchi: | Marekani |
Idadi ya wanafunzi | 5,998 |
Idadi ya walimu | --- |
Kampasi | mjini Princeton |
Anwani mtandaoni : | http://www.princeton.edu |
Chuo Kikuu cha Princeton huhesabiwa kati ya vyuo vikuu bora nchini Marekani.
Kiko katika jimbo la New Jersey.
Kilianzishwa mwaka 1746 kwa jina la "College of New Jersey".
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo kikuu cha Princeton kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |