Bahari ya Japani
Mandhari
(Elekezwa kutoka Bahari ya Japan)
Bahari ya Japani ni kando ya bahari ya magharibi mwa Bahari ya Pasifiki. Imepakana na Japani, Korea Kusini, Korea Kaskazini na Urusi.
Bahari hii huko Korea Kaskazini hutajwa kama Bahari ya Mashariki mwa Korea na huko nchini Korea Kusini hutajwa kama Bahari ya Mashariki.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "S Korea bid to solve sea dispute", BBC News, 2007-01-08. Retrieved on 2008-02-17. "South Korea calls it the East Sea"
- ↑ "Report on the Progress in Consultations on the Naming of the Sea Area between the Korean Peninsula and the Japanese Archipelago". Ministry of Foreign Affairs and Trade (South Korea). 2007-08-30. Iliwekwa mnamo 2008-02-17.
the sea area has been consistently called "East Sea" in Korea
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- media kuhusu Sea of Japan pa Wikimedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Japani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |