Nenda kwa yaliyomo

Kinyamadege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kinyamadege

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Monotremata (Mamalia wanaotaga mayai kupitia tundu pekee nyuma (kloaka))
Nusuoda: Platypoda {Wanyama kama kinyamadege)
Familia: Ornithorhynchidae (Wanyama walio na mnasaba na kinyamadege)
Jenasi: Ornithorhynchus
Blumenbach, 1800
Spishi: O. anatinus
(Shaw, 1799)

Kinyamadege au domobata ni mamalia wa Australia aliye na mdomo wa bata, miguu yenye utando kati vidole kama ile ya fisi-maji na mkia kama biva. Ni moja ya spishi tano za mamalia wanaotaga mayai, lakini ananyonyesha watoto wake kama mamalia wote wengine.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyamadege kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.