Majadiliano:Kinyamadege

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nililiandika neno "domobata" kwa tafsiri ya "duck-billed", lakini neno la mnyama huyo ni kinyamadege. Tafadhali, urekebishe. Mjanja (majadiliano) 05:40, 1 Agosti 2011 (UTC)[jibu]