Robin Williams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Robin Williams
Robin Williams 2011a (2).jpg
Williams, 2011
Amezaliwa 21 Julai 1951
11 Agosti 2014 (umri 63)
Paradise Cay, Kalifornia, U.S.
Ndoa Valerie Velardi (1978-1988) (mtoto 1)
Marsha Garces Williams (1989-mpaka kifo chake Williams 2014) (watoto 2)

Robin McLaurin Williams (21 Julai 195111 Agosti 2014) alikuwa mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Amenza kuwa maarufu kwa mara yake ya kwanza kwenye kipindi cha televisheni cha Mork & Mindy.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
WikiMedia Commons


Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robin Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.