Mona Lisa
Mandhari
Mona Lisa (pia huitwa La Gioconda ambayo kwa Kiitalia ina maana ya mwanamke mchangamfu) ni mchoro maarufu wa mwanzoni mwa karne ya 16, kazi ya mwanasayansi na mchoraji Leonardo da Vinci.
Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri zaidi duniani kote. Kwa sasa mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesho (makumbusho) la jijini Paris (Ufaransa) maarufu kama Louvre.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- "Why is Mona Lisa so famous?", a video commentary Ilihifadhiwa 19 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Mega Mona Lisa, a large Mona Lisa fan site
- Theft of the Mon a Lisa, from the PBS website for Treasures Of The World
- Aging Mona Lisa worries Louvre, an Aprili 2004 BBC article
- The Mona Lisa BBC article
- Leonardo da Vinci, Gallery of Paintings and Drawings Ilihifadhiwa 5 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Unmasking the Mona Lisa: Expert claims to have discovered da Vinci's technique Ilihifadhiwa 6 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Who is Mona Lisa? Historical Facts versus Conjectures Ilihifadhiwa 22 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- Mona Lisa's voice simulated
- "Mona Lisa had a makeover, 3D images reveal" Ilihifadhiwa 25 Machi 2009 kwenye Wayback Machine., Cosmos magazine, Septemba 2006
- Mona Lisa replicated in later art Ilihifadhiwa 11 Juni 2009 kwenye Wayback Machine.
- Who the Mona Lisa Is
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mona Lisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |