Snow White and the Seven Dwarfs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Snow White and the Seven Dwarfs
Snowwhiteposter.jpg
Imeongozwa na David Hand (usimamizi)
William Cottrell
Wilfred Jackson
Larry Morey
Perce Pearce
Ben Sharpsteen
Imetayarishwa na Walt Disney
Imetungwa na Brothers Grimm (ngano za kale)
Ted Sears
Richard Creedon
Otto Englander
Dick Rickard
Earl Hurd
Merrill De Maris
Dorothy Ann Blank
Webb Smith
Nyota Adriana Caselotti
Lucille La Verne
Pinto Colvig
Roy Atwell
Muziki na Frank Churchill
Paul Smith
Leigh Harline
Imesambazwa na Metro Goldwyn Mayer
Imetolewa tar. 21 Desemba 2005 (onyesho la kwanza)
4 Februari 2012(US) 5 Aprili 2015 (Canada)
Ina muda wa dk. Dk. 83
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu $1,488,423[1]
Mapato yote ya filamu $8,000,000 (est.) [2]

Snow White and the Seven Dwarfs (Kiswahili: Mweupe Theluji na Vibete Saba) ni filamu ya katuni ya Kimarekani ya mwaka wa 1937 iliyotokana na ngano za kale ya akina Grimm, Mweupe Theluji. Ilikuwa filamu ya kwanza kuwa na kipengele kirefu katika historia ya filamu za katuni, vileivle kuwa kama filamu ya kwanza ya katuni kutayarishwa nchini Marekani, ya kwanza kutayarishwa kuwa na rangi kamili, yaani, mwanzo hadi mwisho, ya kwanza kutayarishwa na Walt Disney, na ni ya kwanza katika mfululizo wa filamu za katuni za Disney - Walt Disney Animated Classics.[3]

Snow White ya Walt Disney ilianza kuonyeshwa kwa mara ya kwanza katika ukumbi wa Carthay Circle Theatre mnamo tar. 21 Desemba 1937, na filamu ilitolewa katika makumbi mengine na RKO Radio Pictures mnamo tar. 4 Februari 1938. Hadithi hii imechezwa na Dorothy Ann Blank, Richard Creedon, Merrill De Maris, Otto Englander, Earl Hurd, Dick Rickard, Ted Sears na Webb Smith kutoka katika ngano za kale za Kijerumani Snow White ya Brothers Grimm. David Hand alikuwa mwongoza na msimamizi wa kazi hii, wakati William Cottrell, Wilfred Jackson, Larry Morey, Perce Pearce, na Ben Sharpsteen waliongoza vipengele kimoja baada ya kingine cha filamu.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Cite error: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named BarrierRelease1937
  2. Maltin, Leonard (1980, rev. 1987). Of Mice and Magic: A History of American Animated Cartoons. New York: Plume. ISBN 0-452-25993-2. . Pg. 57
  3. Smith, Dave. Disney A to Z, Third Edition, (2006), page 33.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Snow White and the Seven Dwarfs kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.