Monsters, Inc.

Monsters, Inc. ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 2001. Filamu ilitayarishwa na Pixar Animation Studios, na kutolewa kwenye sinema tarehe 2 Novemba 2001 na Buena Vista Pictures Distribution.
Wkamahiriki wa sauti[hariri | hariri chanzo]
- John Goodman kama James P. "Sulley" Sullivan
- Billy Crystal kama Michael "Mike" Wazowski
- Mary Gibbs kama Boo[1][2][3]
- Steve Buscemi kama Randall Boggs
- James Coburn kama Henry J. Waternoose III
- Jennifer Tilly kama Celia Mae
- Bob Peterson kama Roz
- John Ratzenberger kama Yeti
- Frank Oz kama Jeff Fungus
- Daniel Gerson kama Needleman na Smitty
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Corliss, Richard (2013-06-13), "Pixar’s ‘Monsters University’: When Hairy Met Scary", Time (in en-US), ISSN 0040-781X, retrieved 2021-10-25
- ↑ Fun factory. www.telegraph.co.uk. Iliwekwa mnamo 2021-10-25.
- ↑ Monsters, Inc.: The Secret Behind Why Pixar Is So Good (en). Animation World Network. Iliwekwa mnamo 2021-10-25.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- (Kiingereza) Monsters, Inc. katika Allmovie
- Monsters, Inc. at the Big Cartoon DataBase
- Monsters, Inc. at the Internet Movie Database
- Monsters, Inc. at the TCM Movie Database
![]() |
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Monsters, Inc. kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |