Turning Red
Mandhari
Turning Red | |
---|---|
![]() | |
Imeongozwa na | Domee Shi |
Imetayarishwa na | Lindsey Collins |
Imetungwa na | Julia Cho Domee Shi |
Nyota | Rosalie Chiang Sandra Oh Ava Morse Hyein Park Maitreyi Ramakrishnan Orion Lee Wai Ching Ho Tristan Allerick Chen James Hong |
Muziki na | Ludwig Göransson |
Imesambazwa na | Walt Disney Studios Motion Pictures |
Imetolewa tar. | Machi 1, 2022(El Capitan Theatre) Machi 11, 2022 (Marekani; Disney+) Februari 9, 2024 (Marekani) |
Ina muda wa dk. | Dakika 100[1] |
Nchi | Marekani |
Lugha | Kiingereza |
Bajeti ya filamu | dolamilioni 175[2] |
Mapato yote ya filamu | dola milioni 21.5[3] |
Turning Red ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 2022. Filamu ilitayarishwa na Pixar Animation Studios, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 11 Machi 2022 na Walt Disney Studios Motion Pictures.
Katika filamu hiyo walioingiza sauti ni:
- Rosalie Chiang kama Meilin "Mei" Lee
- Sandra Oh kama Ming Lee
- Ava Morse kama Miriam Mendelsohn[4]
- Maitreyi Ramakrishnan kama Priya Mangal[4]
- Hyein Park kama Abby Park[4]
- Orion Lee kama Jin Lee
- Wai Ching Ho kama Wu, Mei's grandmother na mama Ming.
- Tristan Allerick Chen kama Tyler Nguyen-Baker[4]
- James Hong kama Mr. Gao
- Addie Chandler kama Devon
- Sasha Roiz kama Mr. Kieslowski
- Lily Sanfelippo kama Stacy Frick
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Turning Red". British Board of Film Classification. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 16, 2022. Iliwekwa mnamo Aprili 16, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Barnes, Brooks (Machi 7, 2022). "With Turning Red, a Big Red Panda Helps Break a Glass Ceiling". The New York Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 9, 2022. Iliwekwa mnamo Machi 9, 2022.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kigezo:Cite Box Office Mojo
- ↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 "Pixar Animation Studios". Pixar Animation Studios (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-26.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Turning Red katika Metacritic
- Turning Red at the Internet Movie Database
- Turning Red at Rotten Tomatoes
![]() |
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Turning Red kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |