Bambi
Mandhari
Makala hii inahusu filamu ya Walt Disney. Kwa kata ya Wilaya ya Kati, tazama Bambi (Unguja Kati).
Bambi | |
---|---|
Imeongozwa na | David Dodd Hand |
Imetayarishwa na | Walt Disney |
Imetungwa na | Larry Morey Perce Pearce Gustaf Tenggren |
Nyota | Bobby Stewart Donnie Dunagan Hardie Albright John Sutherland Paula Winslowe Peter Behn Tim Davis Sam Edwards Will Wright Cammie King Ann Gillis Fred Shields Stan Alexander Sterling Holloway |
Imesambazwa na | RKO Radio Pictures |
Ina muda wa dk. | Dakika 70 |
Lugha | Kiingereza |
Bajeti ya filamu | dola 858,000[1] |
Mapato yote ya filamu | dola milioni 267.4 |
Ilitanguliwa na | Dumbo |
Ikafuatiwa na | Saludos Amigos |
Bambi ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1942. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 13 Agosti 1942 na RKO Radio Pictures. Hii ni ya 5 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za Walt Disney. Filamu inatokana na kitabu cha Felix Salten chenye jina sawa na hili la filamu hii.
Hadithi ni kuhusu mtoto wa kulungu, jina lake Bambi, ambaye anajifunza kukua katika pori baada ya mama yake kuuawa kwa risasi na wawindaji.
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Bobby Stewart kama Bambi
- Donnie Dunagan kama Young Bambi
- Hardie Albright kama Adolescent Bambi
- John Sutherland kama Adult Bambi
- Paula Winslowe kama mama Bambi na Pheasant
- Peter Behn kama Young Thumper
- Tim Davis kama Adolescent Thumper na Adolescent Flower
- Sam Edwards kama Adult Thumper
- Stan Alexander kama Young Flower
- Sterling Holloway kama Adult Flower
- Will Wright kama Rafiki Owl
- Cammie King kama Young Faline
- Ann Gillis kama Adult Faline
- Fred Shields kama Great Prince ya Forest
- Margaret Lee kama Miss Rabbit
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Barrier 1999, p. 273.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Bambi at the Internet Movie Database
- (Kiingereza) Bambi katika Allmovie
- Bambi katika Rotten Tomatoes