Wilaya ya Kati, Unguja

Wilaya ya Kati ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kusini yenye postikodi namba 72200 [1] Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 76,346 ambapo 38,538 ni wanaume na 37,808 ni wanawake. [2].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/ungujaKusini.pdf[dead link]
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2018-01-10.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kati, Unguja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
![]() |
Kata za Wilaya ya Kati, Unguja - Mkoa wa Unguja Kusini - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bambi | Binguni | Bungi | Charawe | Cheju | Chwaka | Dunga Bweni | Dunga Kiembeni | Ghana (Unguja) | Jendele | Jumbi | Kiboje Mkwajuni | Kiboje Mwembe Shauri | Kidimni | Kikungwi | Koani | Machui | Marumbi | Mchangani (Kati Unguja) | Mgeni Haji | Michamvi | Mitakawani | Miwani (Unguja) | Mpapa (Unguja) | Ndijani | Ng'ambwa (Unguja) | Pagali | Pongwe (Unguja) | Tunduni | Tunguu | Ubago | Ukongoroni | Umbuji | Unguja Ukuu Kaebona | Unguja Ukuu Kaepwani | Uroa | Uzi (Unguja) | Uzini |