Unguja Ukuu Kaepwani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Unguja Ukuu Kaepwani
Nchi Tanzania
Mkoa Unguja Kusini
Wilaya Unguja Kati
Idadi ya wakazi
 - 2,185

Unguja Ukuu Kaepwani ni kata ya Wilaya ya Kati katika Mkoa wa Unguja Kusini, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 2,185 waishio humo. [1]

Ndani ya kata hiyo kuna eneo la kiakiolojia la Unguja Ukuu lililokuwa kati ya vijiji au miji ya kwanza katika Afrika ya Mashariki inayoonyesha ushahidi wa biashara ya kimataifa na sehemu nyingine za Dunia mnamo mwaka 800 BK.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-03-18.
  2. Mark Horton na Felix Chami: Swahili origins, uk. 141 katika "The Swahili World", Routledge 2018, ISBN: 978-1-138-91346-2 "The rapid growth of Unguja Ukuu can be mapped through massive quantities of imported pottery, which on other sites ranged from 2–4 per cent, here exceeded 10 per cent (Horton in press). Around the mid-eighth century, small but significant quantities of Chinese wares began to arrive, along with beads from Sri Lanka and large quantities of glazed and unglazed wares from the Persian Gulf. "
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kati, Unguja - Mkoa wa Unguja Kusini - Tanzania Flag of Zanzibar.svg

Bambi | Binguni | Bungi | Charawe | Cheju | Chwaka | Dunga Bweni | Dunga Kiembeni | Ghana (Unguja) | Jendele | Jumbi | Kiboje Mkwajuni | Kiboje Mwembe Shauri | Kidimni | Kikungwi | Koani | Machui | Marumbi | Mchangani (Kati Unguja) | Mgeni Haji | Michamvi | Mitakawani | Miwani (Unguja) | Mpapa (Unguja) | Ndijani | Ng'ambwa (Unguja) | Pagali | Pongwe (Unguja) | Tunduni | Tunguu | Ubago | Ukongoroni | Umbuji | Unguja Ukuu Kaebona | Unguja Ukuu Kaepwani | Uroa | Uzi (Unguja) | Uzini


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Unguja Ukuu Kaepwani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.