Umbuji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Umbuji
Nchi Tanzania
Mkoa Unguja Kusini
Wilaya Unguja Kati
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,258

Umbuji ni kata ya Wilaya ya Kati katika Mkoa wa Unguja Kusini, Tanzania. Imepakana na kijiji cha Pagali, Mpapa na Dunga.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 2,258 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 1,379 waishio humo [2].

Wakazi wengi wa kata ya Umbuji ni wakulima wa mazao kama mahindi, viazi vitamu, pia ni wakulima wazuri wa mbogamboga.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz, uk. 241
  2. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-18. 
Kata za Wilaya ya Kati, Unguja - Mkoa wa Unguja Kusini - Tanzania

Bambi | Binguni | Bungi | Charawe | Cheju | Chwaka | Dunga Bweni | Dunga Kiembeni | Ghana | Jendele | Jumbi | Kiboje Mkwajuni | Kiboje Mwembeshauri | Kidimni | Kijibwemtu | Kikungwi | Koani | Machui | Marumbi | Mchangani Shamba | Mgeni Haji | Mitakawani | Miwani | Mpapa | Ndijani Mseweni | Ndijani Mwembepunda | Ng’ambwa | Pagali | Pete | Pongwe | Tindini | Tunduni | Tunguu | Ubago | Ukongoroni | Umbuji | Unguja Ukuu Kaebona | Unguja Ukuu Kaepwani | Uroa | Uzi | Uzini | Zawiyani


Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Umbuji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.