Toy Story
Mandhari
Toy Story | |
---|---|
Imeongozwa na | John Lasseter |
Imetayarishwa na | |
Imetungwa na | |
Nyota | |
Muziki na | Randy Newman |
Imehaririwa na |
|
Imesambazwa na | Buena Vista Pictures Distribution |
Imetolewa tar. | Novemba 19, 1995(El Capitan Theatre) Novemba 22, 1995 (Marekani) |
Ina muda wa dk. | Dk. 81[1] |
Nchi | Marekani |
Toy Story ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1995. Filamu ilitayarishwa na Pixar Animation Studios, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 19 Novemba 1995 na Buena Vista Pictures Distribution.
Katika filamu hiyo walioingiza sauti ni:
- Tom Hanks kama Woody
- Tim Allen kama Buzz Lightyear
- Don Rickles kama Mr. Potato Head
- Jim Varney kama Slinky Dog
- Wallace Shawn kama Rex
- John Ratzenberger kama Hamm
- Annie Potts kama Bo Peep
- John Morris kama Andy Davis
- Erik von Detten kama Sid Phillips
- Laurie Metcalf kama Mrs. Davis
- R. Lee Ermey kama Sergeant
- Sarah Freeman kama Hannah Phillips
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Toy Story". British Board of Film Classification. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 21, 2013. Iliwekwa mnamo Agosti 2, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Toy Story katika Internet Movie Database
- Toy Story katika Rotten Tomatoes
- Toy Story katika Sanduku la Ofisi la Mojo
- Toy Story katika Metacritic
- (Kiingereza) Toy Story katika Allmovie
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Toy Story kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |