Rudyard Kipling

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rudyard Kipling

Rudyard Kipling (30 Desemba 186518 Januari 1936) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aliandika riwaya fupi kwa ajili ya kutetea ukoloni. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rudyard Kipling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.