Diego Maradona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diego Maradona
Maradona
Maelezo binafsi
Jina kamili Diego Armando Maradona
Tarehe ya kuzaliwa 30 Oktoba 1960 (1960-10-30) (umri 63)
Mahala pa kuzaliwa    Lanus, Buenos Aires, Argentina
Urefu 1.65 m (5 ft 5 in)
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Katikati
Klabu za vijana
1969–1976 Argentinos Juniors
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
1976–1981
1981–1982
1982–1984
1984–1991
1992–1993
1993
1995–1997
Argentinos Juniors
Boca Juniors
Barcelona
Napoli
Sevilla
Newell's Old Boys
Boca Juniors
Career
Timu ya taifa
1977–1994 Argentina

* Magoli alioshinda

Diego Armando Maradona (amezaliwa 30 Oktoba 1960 - 25 Novemba 2020) alikuwa mchezaji maarufu wa mpira wa miguu kutoka nchi ya Argentina. Watu wengi wanamchukulia kuwa ni mchezaji bora duniani kwa wakati wote.

Mwaka 2000 katika zawadi ya mchezaji bora wa karne iliyotangazwa na FIFA, Maradona alikwenda sambamba katika kugombea mchezaji bora wa karne na Pele baada ya wote kuwa wa kwanza katika uchaguzi ambao FIFA ilitangaza kupitia rai za watu kwenye internet ili kuchagua mchezaji bora wa karne ya 20.

Maradona alichezea vilabu vya Boca Juniors, FC Barcelona na SSC Napoli na alipata tuzo mbalimbali katika vilabu hivyo vyote.