Saint Kitts na Nevis
Mandhari
(Elekezwa kutoka Saint Kitts and Nevis)
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Country Above Self - Nchi mbele ya nafsi ! | |||||
Wimbo wa taifa: "O Land of Beauty!" Wimbo wa Kifalme: "God Save the King" | |||||
Mji mkuu | Basseterre | ||||
Mji mkubwa nchini | Basseterre | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Demokrasia Nchi ya jumuiya ya madola Charles III wa Uingereza Dame Marcella Liburd Dr. Terrance Drew | ||||
Uhuru Tarehe |
19 Septemba 1983 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
261 km² (ya 207) kidogo sana | ||||
Idadi ya watu - [[2015]] kadirio - [[2001|2001]] sensa - Msongamano wa watu |
54,961 (ya 209) 46,325 164/km² (ya 64) | ||||
Fedha | East Caribbean dollar (XCD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .kn | ||||
Kodi ya simu | +1-869
- |
Saint Kitts na Nevis ni nchi ya visiwani kwenye visiwa viwili vya Bahari ya Karibi na nchi ndogo kabisa ya Amerika yote.
Mji mkuu wa Basseterre uko kwenye kisiwa cha Saint Kitts. Kisiwa kidogo cha Nevis (kutoka jina la zamani la Kihispania: Nuestra Señora de las Nieves) kipo km 3 kusini-mashariki kwa Saint Kitts.
Zamani pia kisiwa cha Anguilla kiliunganishwa na visiwa hivi kuwa koloni moja la Uingereza.
Watu
[hariri | hariri chanzo]Wakazi ni 54,961: wengi wana asili ya Afrika (75.1%) au ni machotara Wafrika-Wazungu (12.3%).
Lugha rasmi ni Kiingereza, lakini ile ya kawaida ni Krioli.
Upande wa dini, 82.4% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Waanglikana na Wamethodisti.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
- Serikali
- Saint Kitts & Nevis official government information service
- Saint Kitts & Nevis official government site
- St. Kitts & Nevis Citizenship-by-Investment Program
- Saint Kitts & Nevis official Investment Promotion Agency
- Saint Kitts & Nevis St Kitts Financial Services Regulatory Commission
- Taarifa za jumla
- Saint Kitts and Nevis entry at The World Factbook
- Saint Kitts and Nevis Ilihifadhiwa 21 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine. from OCB Libraries GovPubs
- Saint Kitts na Nevis katika Open Directory Project
- St Kitts and Nevis country profile from the BBC News
- Ramani
- GeoHack list of street, satellite, and topographic maps
- Caribbean-On-Line, St. Kitts & Nevis Maps
- Wikimedia Atlas of Saint Kitts and Nevis
- Utalii
- Nevis Tourism Authority – Official Site
- Saint Kitts Tourism Authority – Official Site
- Saint Kitts Music Festival – Official Website of the annual Music Festival
- Habari
- West Indies News Network (WINN FM)
- The St. Kitts-Nevis Observer
- SKNVibes
- MIYVUE Ilihifadhiwa 27 Desemba 2017 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint Kitts na Nevis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |