Sint Maarten

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ramani inayoonyesha pande mbili za kisiwa: ule wa Kifaransa Saint-Martin (kaskazini) na ule wa Kiholanzi Sint Maarten (kusini).

Sint Maarten yaani Mtakatifu Martino ni nchi ya visiwani katika bahari ya Karibi (Amerika ya Kati) ambayo ni kati ya wanachama 4 wa Ufalme wa Nchi za Chini.

Katika eneo la kilometa mraba 34 wanaishi watu 37,500.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali
Miundo mingine
Vyuo vikuu
Elimu ya sekondari
Utalii
Habari na rai
Caribe-geográfico.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sint Maarten kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.