Bermuda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bermuda
Bendera ya Bermuda
(Bendera ya Bermuda) (Nembo la Bermuda)
Wito: Quo Fata Ferunt
(Kilatini: Pote heri inapotupeleka)
Lugha rasmi Kiingereza
Hali ya kisiasa Eneo la ng'ambo la Uingereza
Mji mkuu Hamilton (Bermuda)
Gavana Sir John Vereker
Waziri Mkuu Alex Scott
Eneo 53.2 km²
Wakazi


-Jumla (2010)
 - Msongamano


64,237
1 207/km²
Pesa Bermuda dollar sawa na US dollar
Kanda la saa UTC -4
Wimbo wa taifa God Save the Queen
Interneti TLD .bm
Simu 1-441

Bermuda ni funguvisiwa lenye visiwa 130 katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Marekani ambalo ni eneo la ng'ambo la Uingereza. Umbali na Amerika bara ni km 1,000.

Visiwa hivyo vilikuwa bila watu vilipotembelewa mara ya kwanza na Wahispania.

Tangu mwaka 1615 vimetawaliwa na Uingereza.

Wakazi wengi wamejitambulisha kuwa na asili ya Afrika (54%) na Ulaya (31%). Wengine ni machotara (8%) na wenye asili ya Asia (4%).

Lugha rasmi na ya kawaida ni Kiingereza.

Upande wa dini, 69,8% ni Wakristo (46.2% Waprotestanti, 14.5% Wakatoliki n.k.).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.