Clipperton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Clipperton kutoka angani.

Clipperton ni kisiwa cha bahari ya Pasifiki karibu kidogo na Amerika ya Kati (kilometa 1,080 kutoka Meksiko).

Ukubwa wake ni kilometa mraba 9.

Kwa sasa hakina tena wakazi, lakini kinamilikiwa na Ufaransa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Picha[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za Kifaransa[hariri | hariri chanzo]

Safari kwenda Clipperton[hariri | hariri chanzo]

Centroamerica politico.png Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Clipperton kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.