San Andrés, Providencia na Santa Catalina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Miji ya San Andrés na Providencia.

San Andrés, Providencia na Santa Catalina (kwa Kihispania Archipiélago de San Andrés, Providencia y Santa Catalina; au kifupi San Andrés y Providencia) ni fungivisiwa na wilaya ya Kolombia. Jumla yake ni kilometa mraba 52.5.

Kisiwa kikubwa zaidi kinaitwa San Andrés sana na mji mkuu wake.

Wakazi ni 75,167 (mwaka 2013), wengi wao wakitokea Kolombia bara, wakiongea Kihispania na kufuata Ukristo katika Kanisa Katoliki. Kabla ya uhamiaji wao wakazi walikuwa wenye asili ya Afrika zaidi na kuongea Krioli iliyotokana na Kiingereza pamoja na kufuata Uprotestanti.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Andrés, Providencia na Santa Catalina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.